Mwanamuziki kutoka kwenye kundi la WCB @officialZuchu amekabidhiwa gari lake rasmi likiwa limekarabatiwa upya baada ya kuzawadiwa na Diamond Platnumz ambaye ndiye Boss wa kundi hilo.

Baada ya kukabidhiwa ndinga hiyo mwanadada huyo alilipeleka kwa Rider ili kwenda kuwekewa Rym mpya, seat cover pamoja na rangi mpya na vitu vingine ambavyo viliweza kubadilishwa kwenye gari hilo

Advertisements

Akikabidhiwa ndinga hiyo Zuchu amesema kuwa gari lake lilipochukuliwa hakuambiwa linaenda kuwekwa rangi gani hivyo kwake imekuwa kama suprise.