Aliyekuwa Mtangazaji wa Clouds FM, Divathebawse baada ya kutangaza kuacha kazi hivi karibuni hivi leo amerudi tena na jina la Kigagula ambalo aliwahi kupewa na mwanamuziki wa bongoi fleva Alikiba.

Divathebawse

Kupitia ukurasa wake wa instagram Diva ameandika kuwa

Advertisements

Tusahau Mambo ya Connection Jaman lets Focus na hii Couple …
Mhhh …ila Amina is Pretty Mashallah ♥️♥️
ILA They look Good Together Jamani …
I admire them tho ….ati #Kigagula ..Ile kigagula sikuwahi ipenda kabisa KJ imekaa kizungu levels eeh ….ila nilimind sema Mi Mnyamwez imeisha hio 😂😂😂……. Spreading Love Yo….12h

Follow Me

Get new content delivered directly to your inbox.