Magawa ndilo jina la panya kutoka nchini Tanzania ambaye ameshinda tuzo ya dhahabu kwa kugundua mabomu yaliyotegwa ardhini nchini Cambodia.

Katika maisha yake Magawa ameweza kunusa mabomu 39 na silaha 28 kabla hazijalipuka, shirika la wanyama lislokuwa la kiserilI la PSDA limemtuza panya Magawa medali ya dhahabu kwa kuokoa maisha ya watu wasiokuwa bna hatia nchini Cambodia.

READ MORE:Je Wajua? Tumbili kutoka Afrika Kusini aliyepambana vita ya kwanza ya dunia (WWI)

Inadhaniwa kuwa kuna huenda kuna mabomu hadi milioni sita ya kutegwa ardhini hapo, tuzo ambayo amezawadiwa Magawa imeandikwa maandishi yanayosomeka kama “Kwa juhudi za wanyama au kujitolea kazini”. kwa wanyama thelathini waliopewa nishani hiyo Magawa ni wakwanza.

Click page 2 to continue reading.