Mkurugenzi wa Konde Music Worldwide, Harmonize amethibitisha kuwa aliandika talaka na kumpatia aliyekuwa Mkewake maarufu kama Sarah Konde girl baada ya kuachana kwao.

Akizungumza kupitia Clouds Digital Harmonize amekiri kuwa alimpatia talaka Sarah ili kulingana na taratibu za kidini zinavyohitaji, na hivi sasa nyota huyo yupo katika mahaba mazito ya waziwazi na muigizaji maarufu nchini Kajala Masanja

Advertisements

Bofya hapa Kutizama Video