Msanii wa bongofleva Ben Pol ameripotiwa kufungua shauri la talaka dhidi ya mkewe Anerlisa ambaye ni raia wa Kenya

Shitaka hilo limefunguliwa katika moja ya mahakama ya mwanzo jijini Dar es salaam huku chanzo kilichopelekea msanii huyo kuchukua maamuzi hayo bado hakijajulikana.

Ben Pol
Advertisements

Ikumbukwe kuwa ndoa kati ya Benpol na Anerlisa ilifungwa mwishoni mwa mwezi May 2020 katika kanisa katoliki la Mt Gasper Mbezi Beach Dar es salaam