Baada ya kutangazwa na jarida la Forbes, bilionea mpya mjini Kim Kardashian aliyejipatia cheo hiko kupitia SKIMS na KKW Beauty atabiri bilionea atakayefuata kutangazwa katika familia yao.

READ MORE

Siku chache baada ya Kim Kardashian kutangazwa bilionea na jarida la Forbes, naye ameamua kutabiri nani atafuata kutangazwa kama bilionea kutoka katika familia yao jibu ilo alilitoa baada ya kuulizwa swali na mashabiki zake “nani anahisi ni bilionea ajaye?” ambapo Kim alijibu kwa kutaja jina la Kendall Jenner na Kris Jenner.

Bilionea huyo alionekana akiwa kwenye tamasha la SKIMS Pop up lililofanyika huko Los Angeles, Marekani siku ya Aprili 7

Advertisements


Ijulikane kuwa Kendall ni mmoja wa models ambao wanalipwa pesa nyingi sana pia Kris ndiye anayehesabiwa kuwa mastermind wa biashara zao.