Mkubwa Fella asisitiza umoja kwa wasanii hasa kwenye mambo ya Kitaifa

Mkubwa Fella ametoa la moyoni mwake kwa Watanzania alipokuwa akihojiwa na Bongo5, meneja huyo amesema kuwa , kama Watanzania tunapaswa kuwa wamoja pale linapokuja jambo la Kitaifa mfano “Tuzo” “Mimi siku nikimuona mtu ana jambo la kitaifa hata awe adui gani upande wangu, lazima nimpost na nimuombee naomba tumpe-support mwana huyo” alisema Mkubwa Fella. Maneno … Continue reading Mkubwa Fella asisitiza umoja kwa wasanii hasa kwenye mambo ya Kitaifa