Nyota muziki kwa bongo fleva kutokea katika kundi la WCB Tanzania Diamond Platnumz amevujisha kipande kidogo cha ngoma ambayo itapatikana kwenye albamu yake ambayo amekuwa akiiandaa usiku na mchana, msanii huyo ameweka video kupitia ukurasa wake wa instagram iliyomuonesha akiwa Photoshoot ya video ya wimbo wake huo mpya.